MAELEZO KUHUSU KIBAO KATA..kwanza kibao kata sio tu tunafundishana mambo ya chumbani bali na mahusiano kwa ujumla yani uwe kwenye ndoa ama nje ya ndoa au labda ni mchumba unaingia kwenye ndoa kutakua kunavikaratasi vinapitishwa siku hiyo utaandika tatizo lako linalokutatiza bila kuandika jina lako nasi tutalisoma na kulitatua pamoja huwezi jua labda kuna mwenzako naye pale alishapitia kama lako akafanya njia gani na akalitatua nawe utajifunza maana wanawake wengi sana wanamatatizo kwenye ndoa zao na mahusiano yao na pia matatizo mengi sana ya chumbani hawana sehemu ya kuyaongelea wanakaa nayo tu moyoni na kuzidi kuwa namawazo bila kujua la kufanya, ukiachilia hilo pia tutakua na mama edelitruda kwa wakatoliki nadhani mnamjua vizuri ni yule mama anayefanya semina za ndoa pale msimbazi centre ambapo wewe na mumeo mnatakiwa kwenda kabla hamjaingia kanisani kufunga ndoa nadhani mnamjua jinsi alivyokua mzuri kwenye kuelezea mahusiano mwenye ndoa ya miaka 30 na zaidi, lakini pia tuje kwa wake wa watu wenye visa jamani tunataka ianze mapema saa kumi kamili ili mpaka saa tatu masomo wote watatu mmoja wa mahusiano na wawili wa mambo ya chumbani wawe wameshaongea ibaki burudani ili kina siye tunaotaka kuendelea kuzipasha nyonga zetu tuendelee mpaka saa tano au hata saa sita hizi sindio outing zenyewe naamini jinsi utakavyoingia ni tofauti na utakavyotoka..tupo kujenga mahusiano kuhakikisha mwanamke anajiamini kwenye idara zote usiwe mtumwa wa ndoa ama mapenzi bali uyafurahie..lipia ticket yako mapema siku zimebaki chache nipigie 0717 019320 ili upate na dera lako kumbuka utakula na kunywa na natoa offer kwa kundi la watu sita natoa dera moja bure mkiwa kumi mawili bure na mkitaka meza za kukaa pamoja pia mniambie mapema....karibuni sana
0 comments:
Post a Comment