Wednesday, April 23, 2014

Kweli mke wa mtu anauma mume apige yeye tu mechi za nje akipigiwa...............PART 1

kuna kaka mmoja ameoa mkewe wana mtoto mmoja, mume wa huyu msichana alikuwa ni mwanaume mkoloni sana, yani yeye kila kitu ni amri sio kubembeleza

huyu mumewe alikuwa hataki kupikiwa chakula na msichana wa kazi wala ndugu yani hata akirudi saa kumi za usiku atamuamsha mkewe ampikie chakula

na alivyokuwa na gubu huyu baba anapenda sana ugali na ugali wake ni wa ulezi jamani mnaujua ugali wa ulezi ulivyo mgumu kuusonga, anaupenda na samaki na wakati mwingine anapenda sana chapati za kusukuma na samaki

sasa pata picha mamae umelala mume anarudi saa nane usiku unaamshwa kukanda chapati na samaki fresh kutoka kwenye friji uwaparue na kuwapika mpaka ukimaliza saa kumi na moja asubuhi

yule baba hakutaka kabisa mkewe kufanya kazi alitaka tu awe nyumbani atunze mtoto, nyumba na kumtunza yeye baba akiamini kwamba mkewe akifanya kazi akipata hela atakuwa na kiburi na hata kupata wanaume wengine nje

alikuwa hamruhusu kabisa mkewe kujipamba wala kuvaa nguo za kisasa yeye ni matenge na yeye yeye na khanga basi haruhusiwi kutoka nje zaidi ya kwenda kwenye shughuliza kifamilia pamoja na mumewe

sasa bwana siku moja wakawa wamealikwa kwenye harusi ya ndugu wa mume, katika ukumbi wa flamingo pale mbezi beach mama kama kawaida yake kapiga zake tenge huyooo akaongozana na mumewe

bwana mimi nakwambia mtu kupendwa hata kama umevaa matambara utapendwa tu sio mpaka uvae sijui maraizoni, au kubanwa ama kujiacha uchi ndio umvutie mwanaume

Basi bwana kufika kwenye harusi kumbe kuna mwanaume ametokea kumpenda mke wa jamaa

Dada anasema yani alishasahau kutongozwa..anasema alikuwa anashangaa yule mwanaume kwenye meza ya tatu kutoka yao alivyokuwa anamuangalia kila mara

Anasema mumewe wala hakumgundua yule kaka kama anamuangalia kwakuwa mumewe alikuwa anajiamini mkewe hawezi kutongozwa na hata kama akitongozwa hawezi kukubali

Basi bwana anasema akaamka kwenda chooni na yule kaka akamfwata nyuma Alipotoka chooni yule kaka akamfwata na kuongea naye anasema moyo ulikuwa unamdunda sijui mumewe angetokea angemweleza nini

Akaombwa namba ya simu na yeye akaitoa haraka na kuondoka akarudi kwa mumewe sherehe ikaisha wakaondoka

Baada ya siku tatu jamaa akampigia mwanamke wakaongea sana kwakuwa mumewe alikuwa kazini

Jamaa akawa amepewa muda wa kumpigia mwanamke ili mumewe asiwakamate basi mapenzi yao yakawa yasimu

Mwanamke anasema alipata faraja ya ajabu na anasena mapenzi tu yale ya simu yaliyoendelea miezi mitatu yalimfanya kumpenda sana yule mwanaume bila hata kukutana naye kimwili

Basi wakaendelea hivyo huku mwanamke mapenzi kwa mumewe yanapungua hana tena vya kumbembeleza hubby wala nini

Siku wakapanga wakutane na yule jamaa.. akasema atasingizia nyumbani wanamuita kuna mgonjwa then wakutane

Mumewe akamkubalia na kuondoka mchana lakini aliambiwa akae masaa mawili tu arudi na alipewa na dereva wa kumpeleka

Kufika nyumbani kwao akachonga dili na mdogo wake akamwambia wanataka matunda ya kumpelekea mgonjwa dereva akanunue kariakoo

Basi dereva kuondoka tu shoga na yeye kwenda kwa mwanaume anasema nilivyomuona sikutaka story nilijikuta namkumbatia na kuanza kulia

Yani nilikuwa namapenzi mengi sana nataka kumpa kwa muda huo mdogo nilioupata..yule kaka alianza kunibembeleza na kunipeleka juu chumbani kwenye hiyo hotel

Tulivyofika chumbani alinibusu kwa namna ya ajabu huku akiniambia anavyonipenda tukajikuta wote tupo tayari kupeana mapenzi kwa njia ya miili yetu

 Alinipa mapenzi ambayo nilijiona kama nipo mbinguni sikutaka amalize wala aniache nilitaka aendelee tu..kweli alikuwa fundi

Mikono yake yenye nguvu alinisogeza mwili wangu karibu yake na kunisikilizisha mapigo ya moyo wake..alinihitaji sana nami nikaahidi kutomuacha...

MMHHHH HATAREEE UKITAKA KUJUA YALIYOJIRI ZAIDI TUKUTANE KWENYE PART 2 YA RAHA HIZI..

0 comments:

Post a Comment