shoga habari mwenzangu siku yetu imerudi tena tarehe 26/4/2013 kama kawaida yetu tunafundana mambo yote ya chumbani na style pia za kitandani tunaonyeshana na siku hii kwa vile itakuwa sikukuu na kesho yake ni jumamosi utakuwa na muda wa kupumzika basi tutafunda kwa muda mrefu ili wewe usiwe na haraka kuwahi nyumbani kupumzika kwa ajili ya kesho kazini, tutapokea na maswali shoga humu aibu hakunaga na watoto hatuwataki lipia nafasi yako upewe dera lako uje kujimwayamwaya kwa raha zako..hehe heiya kama wewe unajuwa huwezi kukumbuka yote yaliyofundwa unaruhusiwa kubeba na notebook uandike..
Kumbukeni haturuhusu kupiga picha kinachofanywa hapo kinabaki hapo kama unapenda kuona lipia nafasi yako.
No comments:
Post a Comment