Thursday, March 7, 2013

Chezea pilipili weye...

Vyakula tunavyokula vinachangia sana chemistry ya miili yetu kuhusiana na suala la hamu ya mapenzi (libido)


PILIPILI

Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka.

Kwenye pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali ambao huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo katika hali ya juu huleta mgusu wa hisia za raha.

Pia pilipili husisimua mfumo wa ufahamu (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kumshwa haraka kimapenzi (kunyegeka) na pia ili ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa uweze kupata hisia kila sehemu



nimeipata humu.......http://mbilinyi.blogspot.com/2008/05/vyakula-vinavyoongeza-hamu-ya-tendo-la.html

No comments:

Post a Comment