Friday, February 22, 2013

Tukutane Hapo...

Mwanamke mwenziyo anapofanya jambo zuri kama mwanamke ni vizuri kumuunga mkono..wapendwa tukutane hapo hata mimi nitakuwepo siku hiyo nikarushe roho yangu na mama khadija kopa ndani ya nyumba..hehe heiya chezea wanawake..

Ukitaka tusalimiane siku hiyo number yangu hiyo hapo juu, au hata kama unalako la kuwekwa humu, au hata la kumrusha mtu roho..haloooooo

No comments:

Post a Comment