Da Rose,
mimi ni msichana na ni mrembo pia nina elimu yangu namshukru MUNGU kwa kweli kipindi nipo a level nilikuwa na mwanaume wangu ambaye nae kipindi hicho alikuwa chuo tulipendana sana na baada ya yeye kumaliza chuo alienda nje kujiendeleza na masomo, aliniacha tz nikiwa bado namuhitaji.
nami baaada ya kumaliza shule nilijiunga na chuo cha sheria na baadae nikahitimu vizuri sana mwaka 2009 nikaja dar kwa ndugu yangu nikaishi nae japo kwa tabu maana huyo cousin wangu alikuwa si mtu mwenye famlia kwa hyo mara nyingi sana tukawa ni watu wa mitoko.
katikak toka toka zetu nikakutana na mbaba mmoja hivi.. nyote mnamjua maana ni mtu maarufu sana hapa dar, basi akanitongoza na mimi kwa kuwa sikuwa na mtu kwa kipindi kile nilimkubalia tukaanza mahusiano,hakunificha chochote aliniambia ana mke wake na watoto wawili, na ametokea kunipenda si unajua tena zetu watoto wa kike nikasema ngoja nijiweke angalau nivute nae muda wakati nasubiri wangu wa peke yangu.
basi tukaanza mahusiano rasmi na yule baba kusema kweli aliniomba mzunguko baada ya week moja tu yule baba si mzuri wa sura ila kweli alikuwa ananipa hela nyingi sana, akanitambulisha kwa marafiki zake , akanipeleka ofisini kwake, kila mahali nilifahamika, mimi sikuwa najua kudrive so alitoa gari yake moja ya kunipeleka popote ninapotaka pamoja na dereva wangu..... maisha yalibadilika sana nilinawiri na kung’aa sijawahi kupata mwanaume akanipenda kama Yule.
maisha yanasogea siku zinaenda dada mimi nina tako yaani nimeumbika haswa basi siku moja katikati ya mzunguko na yule baba akaniambia baby naomba nyuma nilishtuka sana maana mheshimiwa kama yule kuniambia neno kama hilo kwa kweli nilishtuka, nikamwambia hapana, akanibembeleza sana nikagoma.... ila ile kauli ilinitisha sana nikasema lazima nifanye uchunguzi nijue je ni tabia zake au alitaka kunipima mimi kama ni malaya.
basi siku moja tukatoka kwenda bagamoyo, kiukweli yule mzee nilikuwa nampagawisha sana akiwa amelewa penzi.
akiwa amelewa penzi tukiwa huko bwagamoyo nikachukua simu yake sijui hata ni kitu gani kiliniambia niifanye hivyo, nikaanza kuingia inbox na sent item kufika tuu kwenye sent item nakuta msg amemwandika mtu anaaitwa zainabu kuwa amemisi kumpa nyuma.
mimi kwa woga maana mzee mwenywe ana sukari na amelewa penzi nikachukua ile number nikaisave kichwani baadae kwenye simu yangu nikasema nitamtafuta huyo dada mpaka nijue habari za huyu dada.
Dada huwezi amini pamoja na pesa alizokuwa ananipa huyu mzee nilikuwa naugua magonjwa ya zinaaa kila week nipo hospital.
basi nilivyochukua ile number nikamtafuta huyo zainabu , si unajua mtu ukitaka lako utajitoa hata ufahamu ili uujue ukweli nikafanikiwa kukutana na zai ananishi mbagala, yaani kumuona tuu anaonekana malaya fulani hivi nikamchangamkia as if tulishaonana kwenye umalaya wetu nikajichetua na story za kimalaya.
kama mungu sijui au shetani yule baba akampigia zai nikiwa nae, zai kupokea simu akaniambia shoga ngoja nina kichwa naenda mara moja kariakoo kuna mheshimiwa fulani anapenda nyuma hatari, tena sijui hiyo nguvu anaitoaga wapi. na hapa itabidi nimpigie shoga(mwanaume) fulan hivi niende nae, maana anatakaga mwanamke mmoja mashoga wawili, au ngoja nimuulize kama leo atataka wanawake wawili na shoga mmoja.
simu ikapigwa wakaongea mwanaume akasema leo nataka mwanamke mmoja na shoga mmoja... basi nikamshukuru zai nikamwambia shongangu ukipata kichwa uwe unanishtua nikarudi home nasikia hadi kulia , hapo kumbuka ameshanipangia nyumba upande, naenda naye mzunguko kwangu, sikuwahi kumvalia yule baba condom, na alikuwa akija kwangu ki ukweli ananuka harufu ambayo mimi siielewi hata kidogo, na siku aliyonitamkia anataka nyuma ndio nikajua huyu anakujaga hapa akiwa amechafuka mavi, na baada ya kuongea na zai nikapata uhakika kabisa.
bs nikazidi kumchunguza yule baba, raha niliyokuwa nayo ya kuhongwa ikazidi kushuka siku hadi siku, siku moja nikamwita dereva wangu nikaongea nae nikamwambia aniambie tu ukweli kuhusu boss wake nikampa na laki moja yule dereva alitirirka jamani, mpaka nilitamani kufa.
mtu mheshimiwa mkewe mtu mkubwa tuu tra anafanya madhambi hivyo,dereva akasema hata hivyo kuna siku dereva wa boss alishindwa kuvumilia maana yule dereva alikuwa muislam swala 5 akawa anampeleka boss kwenye maeneo yake hatarishi siku akasema kama kazi ndo hii bora niache kabisaaa kwa hvyo akamwambia mke wa boss in and out.. kuwa mumewe anatembea na mashoga na biashara zake ni za kula nyuma.
mke wa mtu alichanganyikwa akaamua kupaki aondoke ila watoto wake akawaonea huruma so ile ndoa yeye na mkewe hawalali chumba kimoja huu mwaka wa nne.
dada kidogo nizimie nikajua kweli yule baba kama ndo michezo yake hii basi na gonjwa hatarishi litakuwa langu, nikakosa amani nikasema hapa lazima nirudi kwa cousin wangu nikamwambia kuhusu yule baba maana cousin wangu nilimwambia kuhusu huyu baba kunitongoza kunipangia na kunitaka nyuma ila kila nilikomba ushauri kwa cousin namuona hana cha maana cha kunishauri.
sasa maji yalipofika shingoni nikaenda huku nalia sana namwambia cousin yule baba ni mbwa anatembea na mashoga wenye majina hapa mjini.. cousin wangu akalia pamoja na mimi nikajua ananihurumia alichoniambia pole sana mdogo wangu nilishindwa kukuambia mapema kuwa yule baba hafai ni malaya mbwa hata mimi niliachana nae kwa tabia zake za kutaka nimpe nyuma.
mimi presha ikazidi kupanda, tena na cousin ametembea nae? na kwanini cousin hakuniambia mapema, nililia kwa uchungu sana siwez hata kukuelezea nikaanza kudhoofu nikapungua sana sina amani wala furaha, kumbuka yule mzee ndo alikuwa ananiweka mjini bado sijapata kazi,niliishi maisha magumu ya mawazo mpaka nikasema nitakufa.
siku ya siku mzee amempigia zai simu anataka wanawaweke wawili na shoga mmoja zai akaniambia nimfuate hotel fulani kariakoo nikasema naenda najitia nguvu mwenywe,kufika reception zai akaniambia njoo moja kwa moja chumba no 204.
Jamani wanawake wenzangu nilichokiona kule yule mzee tayari alishaanza kazi alikuwa anamla yule shoga kwa macho yangu nilishuhudia, yule mzee yupo busy wala hakuangalia mteja mimi nafananaje zai haraka haraka akavua nguo yule baba akaanza kumshughulikia na zai, mimi nipo nyuma yao, naona nazidi kuishiwa nguvu kwa tendo naloliiona pale.
nikasema kama noma na iwe noma shoga analalamika utamu zai nae alalamika ya kumuibia mhe wa watu mm nikampiga kofi la mgongo yule baba akajua ni mapenzi hakugeuka nikampiga tena ndo kwanza anallalamika utamu, nikamnasua cha nguvu zaidi mgongoni akageuka kutahamaki ni mm uso kwa uso na tukio mzee wa watu ana kama kilo 80 alidondoka mie huyo nikaondoka zaidi ananikimbilia mie natoka resi nalia nikavamia tax ya mtu nikaondoka zangu.
Pale yule baba aliponipangia nikahama siku ile ile, nikabadili na number zangu za simu nikaanza maisha mapya japo ya chini sana na yenye maumviu, kila mwanaume aliiyekuwa ananitaka nikakataa katu katu mpaka sasa hvi dada kuna kaka ananipenda ila mimi moyo wa kupenda tena sina kabisa.
Natoa hili ili na wadada wengine wanaopenda maisha ya mjini wajifunze kupenda maisha ya mkato ni vibaya na yanamadhara yake.
Makubwa, umepima afya yako? Kapime uanze maisha upya. Shit happens!
ReplyDeletekwanza kapime, than ujijue unaanza na maisha gani.pole
ReplyDeletenaomba ukapime mpz thn mkabizi mungu kila kitu kitakuwa sawa.pole cna.bora hta ww ulisyuka ukajitoa wenzako hawajali ilo hta kidgo.
ReplyDeleteYani nimesoma huku natetemeka. Nimeona km movie. Dada pole. Pole sana sana. Kila mtu anapenda maisha mazuri wala usijilaumu.
ReplyDeleteUkianguka., unainuka. Unajikung'uta yulee unaendelea km ulivyofanya. Kapime HIV, cheki kizazi chako km kina maambukizi yyt ya ndani. Baada ya hapo kaa na huyo anaekupenda mueleze ukweli maisha yaendelee
Mimi ni mwanaume nimesoma hiyo habari ni kwamba si ya kutisha tu bali ni ya KUSIKITISHA ,KUSISIMUA ,KUOGOPESHA NA INATIA KINYAA CHA AJABU,hivi ktk ulimwengu huu tulionao kuna watu wanatembea barabarani wamevaa nadhifu na kupendeza kumbe ni mashetani mioyoni mwao?!,dada yangu pole sana ,ila na huyo cousin wako si mtu mzuri hata kidogo,alijua USHETANI wa huyo jamaa kwanini hakukuambia? Pole sana narudia tena,la msingi kacheki afya yako uanze ukurasa mpya wa maisha,halafu nikuulize vipi yule mtarajiwa wako uliyesema yuko nje kwenye masomo?ndiyo humtaki tena au ulishampiga KIBUTI baada ya kupata mapenzi MOTOMOTO TOKA KWA BABU?
ReplyDeleteBy Your Bro Simba
Acha ujinga we dada. Mwanaume wa kweli huwa anatongoza kwa maneno, sio pesa. Ukiona mwanaume anakumwagia pesa ujue ana matatizo huyo. Sasa wewe umevuna ulichopanda, si ulikuwa unapenda hela bwana. Kwani vijana wenzio wenye pesa za kawaida tu hukuwaona?
ReplyDelete