Yaani kila nikifikiria 7/12/2012 utumbo unanicheza..uuwwwiii maana najuwa raha zake mule zinavyokuwaga na jinsi watu wanavyobakigi midomo wazi kwa kusikia mambo mapya. Lakini cha muhimu kinachonipa nguvu zaidi kufanya haya ni pale watu wanapokupigia na kukushukuru kwa kuwa mahusiano yao sasa yemkuwa motomoto na imara zaidi, wanaoshukuru kwamba ndoa zao wame zao walikuwa wanakaa hata miezi mitatu mpaka miaka hawajawagusa lakini baada ya kutoka kufundwa wakajifanya wajinga na kuwaanza wame zao na mpaka leo haipiti wiki hawajaguswa mzunguko na ndoa zao kuwa zenye furaha na amani tele.
Hilo ndio linalonipa nguvu kila nikiamka kuwa fulani sasa anaamani kwenye ndoa yake, mapenzi yao na sasa fulani anamtoto baada ya kuhangaika kwa muda.
Tukutane tena 7/12/2012 tujuzane tena zaidi
No comments:
Post a Comment