Sunday, November 25, 2012

Wanaume wamelalamika kutengwa haya sasa kazi kwako kama unaye..

Kutokana na shauku walilokuwa nao wanaume kuhusu kufundwa kwa wake/wapenzi wao tunaanda event nyengine 26/4/2013 hii itahusisha wakina baba pia tuongelee zaidi mambo ya ndoa zetu haswa chumbani raha, kero na mahitaji zaidi ya nini cha kufanya chumbani. mengine mengi nitawajuza siku zinavyozidi kuja muandae mkeo/mumeo/mchumba/mpenzi kwa raha zaidi na mafunzo tele




Ahsanteni

No comments:

Post a Comment