Thursday, November 1, 2012

Unajuwa maana ya kutandika wewe..

Jamani wanawake hivi kitando chako nyumbani unavyoamka asubuhi na kukitandika huwa unawaza nini, unajuwa kwa nini kitanda kinatandikwa ama ni kwasababu ya usafi tu..hehe heiya shoga kitanda kina maana yake shoga akija kungwi ama mtaalamu kwako akiona ulivyotandika tu kitanda chako anakujuwa maana yako ni nini..

Unataka kujuwa maana ya kutandika kitanda wewe kikinyooka kinamaana gani, kikiwa hakijanyooka vizuri je ama kama hakijatandikwa..SHOGA utachekwa..tukutane tarehe 7/12/2012 upate miujuzi..


1 comment:

  1. jmn mbona tunatamanishana????????????????????/hya sie wa ughaibuni tutasubr kuandikiwa humu humu

    ReplyDelete