Thursday, November 1, 2012

OKOTA....Hizo

Siku hizi wadada wengi huvaa shanga lakini cha kushangaza wanavaa sa kila rangi mpaka chimpung'u haya sasa zitamwagwa hapo kuokota mlifundwa siku hile kufunga na maana je????? ama unadhani unafungua tu nut yake, kuvaa na kufunga shoga kila shanga inamaana yake unataka fahamu tukutane 7/12/2012

Unaambiwa raha ya ny.....kunyeg....na hii ni moja ya vifaa hodari sana kwenye mzunguko njoo tukujuze raha za dunia.

Chezea siye hapa hakuna maneno kazi tu..


No comments:

Post a Comment