Tuesday, November 6, 2012

Hehe heiya..Chezea siye weye

Shoga kila mtu anasema hizi njia za uzazi wa mpango zinamadhara sasa itakuwaje kwa wengine kama miye ambaye nikiguswa kidogo tu mimba.. na kama wewe pia upo kama mimi shoga ngoja nikujuze

Shoga unazijuwa style za uzazi wa mpango weye..kuna style shoga ukikaa hata ukukuruke vipi shoga mimba haingii ng'o waulize waliokuwa kufundwa mwezi wa kumi wanazijuwa walipewa hilo ila sio mbaya maana wataonyeshwa tena na kuonyeshwa nyengine tena na tena shoga njoo upate miujuzi hehe heiya

Unaambiwa raha ya kitanda kutokujuta..unajuwa maana yake sio wewe unampa mtoto wa watu raha huku unawaza leo sijui akimwaga ndani nitapata mimba!!!! shoga hizo zama za kale karne mpya hii umeachwa????

No comments:

Post a Comment