Tuesday, October 23, 2012

Hii ni ya mwisho kuweka tuliyofundwa jumapili ukitamani kujuwa zaidi MUNGU akipenda tukutane tena tarehe 16/12/2012..

 Handkerchief ni kitambaa muhimu sana ambacho kila mwanadamu anatakiwa awe nacho kina matumizi mengi sana na kila mtu anakitumia kwa jinsi atakavyo yeye, leo nitawafundisha kukitumia nyumbani kwetu.

Sijui nyie ila kwa wale ambao wanaishi sehemu ambayo haikauki wageni hii itawafaa sana kama mimi kwangu uswahilini hodi haziishi kwakuwa watu wanataka msaada kwako na kama MUNGU amekubariki kuwa nacho ni vyema ukawasaidia na wengine japo kwa mawazo na kuwafariji tu.

Sasa basi handkerchief inatumikaje chumbani, mnapokuwa manataka kuingia kwenye mzunguko kama nilivyowaambia mwanzo usikose kibeseni kidogo chenye maji, na khanga pia usikose handkerchief mara tu mnapomaliza mzunguko ukasikia hodi unafanyaje na wote tunajuwa kwamba baada ya muda shahawa hushuka chini kama hujajitawaza vizuri na utajitawaza saa ngapi na umeitwa unamgeni? hapa ndio kitambaa kitakapotumika utachukuwa kitambaa choko ukikunje vizuri vaa chupi kiweke ndani kama pedi nenda kamauone mgeni wako hata kama shahawa zitatoka zitakuwa zinamwagikia kitambaa kwahiyo haziwezi kukuumbua kushaka mpaka miguuni kama umejikojolea inakukinga na aibu sio mtaa mzima wajue umetoka kuzungushwa hilo ni jambo la siri..

2 comments:

  1. Aloooooooooooooooo mdada sina hata cha kusema kwa kweli nilijifunza mengi mengi sana siku hiyo. Umesahau mambo ya khanga, na asali je!!! bibi si mchezo wala siwezi kosa twambie mapema tujiandae. Ushauri zingatia sana ukumbi muhimu.

    ReplyDelete
  2. mhhhhhhhhhhh hapo mie kimya mna hta kusema swz tena!ahsante tunaenjoy sana kwa kutuwekea

    ReplyDelete