Friday, September 21, 2012

Kuelekea siku yetu...

Shoga unaambiwa hii supu ya mboga lazima utainywa...

Kuelekea siku hiyo yetu siye wakina dada ya kurushwa roho na kubwaga moyo madira sare ya shughuli yapo tayari na ninayo mimi kwahiyo wahi lako mapema yapo mia tu kwahiyo yakiisha itabidi usubiri mwakani, ukihitaji lako nipigie 0717 019320 au BBM me 23A0C2B4  kwa kiingilio 30,000/= ushikilie lako bibi usubiri ufundwe..

Chezea mtoto wa mabibo, utaipata heka heka huku magomeni, mbele tandale, huku manzese weee utajuta hizo hekaheka...chezea miye hapa hakuna kuficha mambo yote hadharani unaambiwa kama lilivyo..hehe heya

Usifikiri inayopigwa bastola shoga hupigwa risasi bastola ipo PALEPALE

No comments:

Post a Comment