Jamani mmhhh haya makubwa na haipendezi, wewe unajuwa fulani shoga yako halafu ukalale na mume wake inahusu hivi siku hizi hamnaga tena urafiki wa kweli???
Ndio yale yaliyosemwa kisa umeona mwenzio mumewe anampa magari, sijui mipesa na mazagazaga kibao na wewe unaenda kujipitisha tu mwanaume akulale upewe bahati ya mwenzio usilaliie mlango wazi usidhanie kwasababu yeye kapata na wewe utapata utalalwa na kuambulia bia mbili..wanawake tuache kujidharilisha.
Na dawa yenu ndio hiyo, mtakoma sana kama mgekuwa wazuri si huyo kijana angemuacha mkewe akakuoa wewe, muone kwanza sura imekuzeeka kama beberu lizee..wanaume hao wameshushwa kwa vitabu wapo kibao hutafuti wako ukamuweka ndani au hujafundwa wewe na mvuto huna ndio maana kutwa kuganda waume za watu..hehe heiya
LAKO HILO KAMA LINAKUHUSU...
No comments:
Post a Comment