Tuesday, August 21, 2012

Tahadhari na mwiko wakati wa kupakuwa..hehe heiya

 Muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo...

Yanini kutaka lamu kwa jambo lisilokuwa, utahadhiri na mwiko wakati wa kupakuwa ukitaraji MAKOKO chungu utakitoboa...hehe heiya chezea bi kidude wewe..

Unaambiwa endae tenzi na omo atarejea ngamani..muhitaji hana haya wacha watu wa kucheke ..

Lakini unaambiwa aliopewa kapewa katu hapokonyeki..wewe ukifanya chuki bure unajisumbua


No comments:

Post a Comment