kwa msioona vizuri kanga ya shosti imeandika tendo la ndoa ni furaha, si karaha usinilazimishe..upo hapo
Maana bwana kunawanaume wengine yani akitaka tunda kama wewe huna hamu mbona utakoma, utabiringishwa kama unabakwa kwa nguvu tu ilimradi atimize haja yake, akidhani labda hutaki kumpa utakuwa umetoa nje..jamani wanaume tafa sana utakuta mwenzio hamu hana tu umesikia yeye koni kila akiganda huliwa wakati mwengine ile koni inaweza kuinywa kama maziwa unabadilisha ladha..hebu uko
eehhee ndio wewe baba nakuambia mwenzio anaposema hana hamu basi muelewe..
No comments:
Post a Comment