Wednesday, August 22, 2012

Aaaahhh GOMBA....

Chezea GOMBA wewe..

Jamani sinauhakika kama mirungi inakubaliwa kula waziwazi ama sheria haikubali ila nimesikia eti mirungi ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume!!! labda kwa wanaojuwa zaidi wanaweza kutufahamisha.

Nasikia mwanaume akishakula mirungi anakuwa na nguvu mara tatu ya nguvu yake ya kawaida!!!! kuliko kunywa madawa yakuongeza nguvu za kiume ambazo baadaye yanakuletea side effects si bora gomba????? mmmmhhh haya



1 comment:

  1. mmmmh mie navojua mirungi inaharibu kizazi kwa wanaume, yaani zile shahawa za mwanaume zinakua hazina nguvu tena, zinakua povu tu wala si shahawa tena.
    na kuna mtu kabisa wa karibu ni addicted na haya mamirungi na ana hilo tatizo.
    mdaktari wetu wa humu ndani tupeni info kama zile mlizotupa kwenye kumuosha bibi.

    ReplyDelete