Friday, March 30, 2012

UGUMU HUU...MMMHH

wadau hamjambo? mimi ni mdada wa miaka 28, nina tatizo ambalo nimepambana nalo lakini naona sifanikiwi. mikono yangu ni migumu sana jamani hadi huwa naona aibu kumsalimia mtu kwa kumpa mkono. nimejaribu kutumia njia ya kupaka mafuta mazito mikononi lakini bila mafanikio. nisaidieni wapendwa, nifanyeje? da rose my email kapuni pls

No comments:

Post a Comment