Thursday, March 22, 2012

Picture copied from pretty sinta's blog:

Jamani mimi binafsi nimefurahishwa sana na kitendo cha huyu baba kutokuwa na aibu na kumthamini mkewe mpaka kumsaidia kumbeba mtoto wao mgongoni.

Haya sasa nyie wababa jeuri hii mnayo? ama nyie ndio walee mnaotaka kila kitu mfanyiwe nyie hamuwezi kabisa kuwasaidia wake zenu looh haipendezi hii miaka mingine jamani ya kusaidiana siyo kafanyana watumwa.

1 comment: