Natumaini unaendelea vema, naomba unisaidie kuweka mada hii kwenye blog  yako. Najua na ninaelewa kwamba wanawake wengi siku hizi wanadaiwa  kufanya mapenzi na wanaume kinyume na maumbile, mimi kama mkristo  natambua ni kosa na haifai kufanya hivo, japo wanaofanya huwa wanafanya  kwa raha zao. kuwalaumu pekee haitoshi. Sasa nachoomba wadau wenzangu  kwenye hii blog wajitokeze wanawake wanaofanya tendo hili watuambiwe  wanajisikia raha gani wafanyapo hivo na je wamependa, wamelazimishwa au  wanafanya hivo kwa kushawishiwa. Tafadhali naomba maoni ya wadau.
 






 
 
 
 
 
 Posts
Posts
 
 
0 comments:
Post a Comment