Tuesday, October 11, 2011

NIFANYE NINI NA NINA MTOTO...

Jamani leo nataka tumsaidie mdada aliyeolewa na wanaishi kwenye chumba kimoja yeye na mumewe wanamtoto mmoja wa umri miaka miwili ndio ametimiza sasa baba akitaka kuzama mama yeye anaogopa ya kwamba mtoto atawaona na hili limekuwa kero sasa kwa baba maana hapewi haki yake kwakuwa mtoto analala nao na hili sasa limekuwa ugomvi kwenye nyumba yao.. afanyaje?

No comments:

Post a Comment