Friday, September 16, 2011

SOMO LEO....... yalahaaaaaa

jamani natumaini blog hii inatembelewa na watu wa umri kwanzia miaka kumi na nane tu maana kuna topic nyengine ninazoulizwa kuweka humu mpaka naogopa, lakini nitafanyaje na ndio kazi yangu.

kuna mdada anatatizo moja kubwa ambalo anaomba ushauri kwangu na kwa nyie wadau wangu, yeye amezoea kufanya punyeto na mpaka imemuathiri hawezi kabisa kuwa na mwanaume na hata akiamua kuwa naye hampi raha kama anavyojipa mwenye.

kwanza kabisa nataka niseme kitu kimoja huu utandawazi utatumaliza na kama sio sisi tusipoangalia utamaliza watoto wetu, lakini upande mwengine hatakama  utandawazi utatumaliza matukio mengine tunajitakia sisi wenyewe na maanisha nini....

katika kufanya mapenzi ama tunapokubaliana kuwa na mtu fulani, wewe umeshajiuliza na kuwa naye kwanini, ama niseme hivi sawa umemkubalia kuwa naye na unajuwa katika urafiki wenu huo mtakuwa mnafanya mapenzi je wakati unaanza naye huo mchezo mara ya kwanza umeshamchunguza na kujuwa ya kwamba size hiyo ndio unayoitaka???????? ama unene huo ndio unaoutaka????? na urefu je?????? ukakamavu wake ama baada ya kupapaswa kidogo ameshachomoza????? hivi vyote unajiuliza kwani ni lazima ujuwe utakacho kabla hujamkubalia mtu kabisa kuwa wako.. kama hukujuwa basi utambue.

na baada ya kuijua kwamba hii ndio ninayoitaka, baada ya kujaribu umeridhika na mchezo wake, speed yake je ya kwaida, kama kobe ama kama farasi, umelichunguza hilo??????? na usongaji wake ugali anautumia mwiko wake vizuri ama anasonga kama anakoroga uji? maana usidhani kuingia na kutoka ndio basi, anajuwa kusonga vizuri unaridhika ugali ukila unshiba, sio kwa umero ashibe yeye tu wewe je???
huyu analiyezoea punyeto wala simshangai kwanza wadau nataka niwaambie kama mlikuwa hamjui hiyo miko ya plastic jamani inasonga kuliko hata miko ya binadamu, kuna nyengine zina betry basi ukiiwasha inakata (inajisonga yenyewe) na ule mtetemeko ndio balaa zaidi maana binadamu mtetemeko hana yeye ni kujitahidi tu kusonga sasa ukishakutana na ile ya betry mwanaume utamtaka kweli??????
na ukishamchunguza mwanaume na ukagundua huyu sio ninachokitaka basi achana naye tafuta ambaye atakayekurudhisha unajuwa tunapijichanganya wanawake wengi tunaangalia umbile la nje, tunajisahau kwamba cha muhimu ni cha ndani, maana utakaposhindwa kumpa mwanamke vizuri si lazima atafute pengine? ndio sasa tunajikuta tunaishi kumaliza siku kama mmeoana ama kama hamjaoana ndio mnaachana tena.

wanaume jitahidini kusonga mwanamke asikudharilishe kwamba afadhali atumie plastic, maana kumbuka ile hainywei bwana mda wote ipo kamili sio kama ya nyama inanyauka mpaka uitomase ndio ikae sawa tena na dakika fulani inanyauka tena ukitaka mpaka uanze darasa.
na wanawake japo plastic inaweza kukupara raha utakazo, uhusiano imara na wenye mapenzi tele ni pale nyama kwa nyama zinapokutana.

1 comment:

  1. Did u know that masturbation can permanently destroy ur sexual stimulation!??? Nature is beauty, Acha kutumia dildo coz madhara utayopata, unaweza ukauchukia ujana wako, Hata ww mwanaume usipige punyeto tafadhali manake utatamani usingezaliwa pindi side effects zitakapoanza kujitokeza. Madhara mojawapo ni, mwanamke hutakaa upate orgasm kamwe ukitiwa na mwanadamu labda iwe mashne nk. Nk. Nk. NkDid u know that masturbation can permanently destroy ur sexual stimulation!??? Nature is beauty, Acha kutumia dildo coz madhara utayopata, unaweza ukauchukia ujana wako, Hata ww mwanaume usipige punyeto tafadhali manake utatamani usingezaliwa pindi side effects zitakapoanza kujitokeza. Madhara mojawapo ni, mwanamke hutakaa upate orgasm kamwe ukitiwa na mwanadamu labda iwe mashne nk. Nk. Nk. Nk

    ReplyDelete