Friday, May 20, 2011

MTOTO ASIWE KISINGIZIO CHA KUMNYIMA BABA....



kuna wanawake jamani wanapopata mtoto haswa kama ndio mtoto wake wa kwanza basi inakuwa ishu baba tena nafasi ndio hana mtoto kachukua nafasi ya baba yale mapenzi yote aliyokuwa anapewa baba yamehamia kwa mtoto jamani tunakosea...


MUNGU, amewabariki kupata mtoto lakini wanawake tukumbuke mtoto ametoka kwenye kiuno cha mwanaume pia kwahiyo tujifunze kumthamini baba kwanza halafu watoto wafwate, maana kwangu mie mwanangu wa kwanza mume wangu halafu ndio hawa wawili nilio nao....


kitandani wamama baada ya kupata mtoto sasa mtoto ndio analazwa katikati, baba unamuweka pembeni huko sijui ukutani na wewe upo pembeni jamani haipendezi mara baba akitaka mzigo wake unakataa kisa mtoto sijui nitachoka maana nanyonyesha, ohhh mara tutamuamsha mtoto inahusu jamani, mara baba kaekwa kando namba moja kaishika mtoto...


kitandani kama unamtoto unamlaza upande wa ukutani mtandikie vizuri, wewe lala katikati baba alale nyuma yako ili hata kama akitaka mzigo wake kwako wewe ni rahisi unageuka tu na kumpa raha, na hatakama mtoto ameamka anataka kunyonya unamuomba baba ugeuke upande wa pili ili utoe ziwa huku mtoto anakula na huku baba anakula ngoma ndroooooo.....


mwanaume anahitaji malezi shosti, ukishindwa kumpa untakaafanyaje????? mara unaanza kulala mika baba fulani tokea tumepata mtoto mguu na njia na kuchelewa kurudi kumbe wewe ndio unamfanya afanye hivyooo....

No comments:

Post a Comment