Tuesday, September 28, 2010

UDI WA MWANAMKE MVUTO..

jamani kwa wote mliotaka udi huu naombeni mnipe muda kidogo niende huukoooooooo nikaangalie kama mzigo bado upo nitawaambia...

mwanamke raha bwana sasa kama mpenzi wako halii kitandani inamaana? hehehe

2 comments:

  1. dada hai
    mimi ni mmoja nausubili huo udi naomba usinisahau
    ngopolag@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Naomba kuuliza, hivi kuna wanawake wanaweza kuwaliza wanaume kimapenzi?

    ReplyDelete