ninachoamini mimi ni kwamba kila shetani ana mbuyu wake, mbuyu wa mume ni mkewe na mbuyu wa mke ni mumewe, mbuyu wa mwanamme ni mwanamke na mwanamke ni mwanaume(na hii ni kwa wale walio kuwa pamoja zaidi ya miaka mitatu kwenda mbele).
muda huo wewe kama mwenza wa mwenzake utajuwa kama mwenza wako anakuwa vipi pindi mnapokutana kuchuma matunda, je analalamika vipi? ama wala hajishughulishi kulalamika.. anakusifia?(sio sifa zakutoka kwa mume wa mtu ama mke wa mtu, hao wakikusifia ni uongo kwani hujifurahisha tu na sio kwamba wanakusifia kutoka moyoni kama wanavyowasifia wake ama wame zao)..
kwa muda wote huo ndipo utakapojuwa kama analia ama halii na kama halii hebu jaribu kumuuliza usikute humfikishi wakawa wanaliliwa wengine itakuwa aibu..
ikija kwenye hili jambo hakuna cha mwanamke ama mwanaume wote hulia.. hata mimi
hehehehehe hujamkuna ipasavyo, tafuta kona zote zinazomfanya alie,lakini usije tu kumkasirikia na muuliza mbona hulii direct, hapo utakua umeharibu mambo, anaweza akaanza kujifanyisha kulia, kumbe vyote vya uwongo, tumia upole na swahiba zako za kike ujue mmeo/mkeo wapi anakunika........yaaani ni rahaaaaaa
ReplyDeletefatma
Mwee, mi wangu hata akimaliza hujui unaona tu kachomoa huyo anakoroma........!
ReplyDelete