Monday, August 2, 2010

NJIA NZURI YA UZAZI WA MPANGO...

Rose, samahani mimi ni mdada na nataka nieleweshwe njia gani nzuri yakutumia kwa ajili ya uzazi wa mpango maana watu wananichanganya kwa mengi wengine wanasema ukiweka vijiti mara nyengine huwa vinatembea mwilini, ukinywa vidonge ukikosea siku moja basi unaweza kubeba mimba wengine wanasema eti sindano hunenepesha na kufanya mtu utokwe na damu nyingi sana.
naombeni ushauri wenu ni njia gani nzuri ama kunanjia nyengine ukiacha hizo?

1 comment:

  1. Kijiti cha mkononi ni ok ila unaweza ukaput on weight inategemea na mwili wako, ila hilo tatizo la kuput on weight ni kwa contraception zote kuna wengine wananenepa na wengine wanakuwa ok inategemea na mwili wako coil pia ni nzuri ila wanasema inabidi uwe unaicheck mara kwa mara zingine sijui kwa kweli.

    ReplyDelete