kuna dada amenitumia hii story kwenye face book kupitia account yangu ya Rosemary Mizizi anasema ya kwamba mdogo wake anamshtumu mumewe kwa kumbaka, ya kwamba kuna mamboyalitokea huyu mdogo mtu akakutana na shemeji yake ndipo huyu shemeji akambaka na baada ya tukio huyu dad akamuelekea mama yake mdogo na kumweleza yote ndipo huyu mama mdogo alipoamua kumuita dada yake na kumueleza kitu ambacho dada yake anakikana na wala hataki kuamini kuamini kwamba mumewe anaweza kufanya jambo kama hilo.. huyu dada anaomba ushauri cha kufanya kwasababu anaogopa familia yake itamyenga kwa kutokubali kumsaidia mdogo wake na kuungana pamoja na mume wake kwani anasahau alipotoka.
Kazi ipo, mambo mengine ya familia yanashangaza...ndio maana wanasema ndugu wakigombana .....shika jembe ukalime...
ReplyDeletemmh iyo kali....ila mi namshauri uyo dada amchunguze mumewe..anaweza kupanga na mdogo wake ajifanye kama amekumbuka utamu wa kubakwa, yaani ameipenda mboo ya shemeji yake, na akaomba wakutane hotel ili wapeane tena raha za ukweli..then atamkamata tu. hatokataa kama kweli! @abdully00@gmail.com
ReplyDelete