Thursday, July 1, 2010

USHOGA NA ANAUPENDA...............



ROSE, na wenzangu wote natumaini mu wazima leo ninajambo moja zito sana na kwakweli nahitaji msaada wenu, kwetu tumezaliwa wanne wasichana watatu na mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 27 ambaye kwa kushangaza amekuwa shoga.

ilianza kama utani kwani hatujawahi hata siku moja kumuona akileta mwanamke nyumbani kwamba ni girlfriend wake ila mara kwa mara alikuwa anakuja na kundi la wanawake ambao ni mashoga zake kwa wakati huo sisi hatukugundua kitu kabisa.

lakini kwa muda tukawa tunamgundua anajipenda sana kupita kawaida, akawa anatembea na kibegi ambacho kutwa hakikosi manukato, lotion, kitana na mafuta ya mdomo kidogo, kwakweli tulishtushwa sana tukajuwa labda ni cha marafiki zake lakini mara kwa mara akawa nacho na pindi tukiamua kutoka pamoja kila mara huchukuwa kioo chake kidogo na kujiremba ndipo tulipojuwa kuwa ni bwabwa.

kwa kweli hiki kilitushtua sana na kwavile wazazi wetu hawapo tena hatukuwa na mtu wa kuongea naye tukajitahidi kuongea na huyu kaka tukimshawishi aache ushoga lakini akatuambia anaupenda na hawezi kuuacha na tukiendelea kumshawishi atakimbia nyumba na asirudi tena.

kinachonikasirisha ni pale ninapomsikia akiongea na simu na hao wanaume wake anavyowaambia jinsi walivyomchanganya kwa mapezi jana yake na jinsi alivyokuwa anatamani tena, na wakati mwengine yupo busy kutuma message zake mbaya ambazo hazina adabu kabisa.

tunampenda sana huyu kaka yetu na hatutaki awe shoga tumejaribu kila njia ya kumwachisha lakini tumeshindwa jamani tusaidieni japo hata kwa mawazo tumfanyaje?

MAMU

10 comments:

  1. dada rose nakupapongezi sana kwa kazi yako nzuri ya kutuelimisha na tunajifunza mengi kupitia hii web site yako mimi sipitishi siku bila yakusoma yanayojiri ktk website yako mimi leo nikonje yamada kidogo mimi nina matatizo ya miguu chini ya nyayo kuwaka moto yaani usiku sifuniki miguu inawaka moto kiasi kwamba hata nikitumbukiza miguu ktk maji ya baridi inapata moto naombeni ushauri wenzangu woote mnaosoma website hii ni hayo tu mbarikiwe sana

    ReplyDelete
  2. you have to choose kumpoteza kabisa au kukubaliana na hali halisi, thats who he is he cant change mkimlazimisha kuwa vingine you will loose him for good na the sooner mkikubaliana na hali halisi the better, you will get over it easily. Show him love I know its hard but thats the fact.

    ReplyDelete
  3. ushoga, inasemekana kuna mpaka wanyama na ndege shoga.

    ila swala hili, wahisani a.k.a wadhungu wanatulazimisha kuwakubali mashoga ila wanakataa polygamy kama ya Jacob ZUma

    ReplyDelete
  4. Hayo ni mapepo dawa mpelekeni akafanyiwe maombi na watumishi wa Mungu wa ukweli maana pia siku hizi kuna watumishi wengine wakichina

    ReplyDelete
  5. I am afraid to say that, Hilo lango ktk familia, shughuli ni Kulifunga. Kuna mmoja ktk trend ya uzao wenu alishawahi kuwa anaingiliwa nyuma, anaweza kuwa mwanamke au mwanaume.I am afraid to say that, Hilo lango ktk familia, shughuli ni Kulifunga. Kuna mmoja ktk trend ya uzao wenu alishawahi kuwa anaingiliwa nyuma, anaweza kuwa mwanamke au mwanaume.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli hilo ni lango linatakiwa kufungwa kwa jina la yesu. biblia inasema kila tutakachokifungua duniani na mbinguni kitafunguliwa mbinguni na kila TUTAKACHOFUNGA duniani na mbinguni kitafungwa. mnayo mamlaka fungeni uchafu huo....maana bila ivyo msishangae baadae na nyie mnazaa watoto mashoga.....mungu awasaidie mpelekeni akaombewe kama hataki chukueni hata nguo zake mpeleke huku mkimuombea mungu ni mwaminifu

      Delete
  6. dah kwanza pole sana dada kwa kupoteza kaka wa pekee ktk familia yenu.....la pili ni kukushauri tu kua mtenge mda mwingi kukaa na huyu brother wenu...jaribuni asipate mda wa kufanya ayo mambo yake...onesheni upendo wa hali ya juu zidi yake.. tokeni nae mda mwingi ,mchosheni ili asiwe na mda wa free huku mtaftieni dawa za kuacha ayo mambo...ikiwezekana mhamisheni katika eneo ambalo akutana na watu wengi wa kumtimizia haja zake...mrudisheni kwa mungu,mpeni ushauri kwa taratibu na sio kumkaripia....na insha Allah atakua kwa uwezo wa mungu kwani munatakiwa musikate tamaa,,,hakuna lisilowezekana

    ReplyDelete
  7. hilo ni janga kubwa katika familia. baadhi husema watu huzaliwa mashoga - kama ni kweli kutokana na hormonal imbalance basi huenda ni asili mia ndogo. lakini kwa upana au kubwa wake inaweza tokana na wazazi na jamii iliyopo jirani kutokuwa makini katika mienendo ya watoto wa kiume hasa wakiwa katika umri ambao hawajafikia kujiamulia wenyewe au kufahamu nini kinatendeka kwao. umakini katika rika ya watoto ambao mtoto anacheza nayo, mwenendo wa mtumishi wa ndani wa kiume au houseboy, umakini wa mtumishi wa ndani wa kike katika kulea watoto wazazi wawapo kazini au katika shughuli mbalimbali, watoto wa kiume hata kama ni mama na baba mmoja kulazwa chumba kimoja (imewahi tokea kaka akawa anawalawiti wadogo zake) nk vyote hivi huchangia kuharibiuka kwa watoto bila kusahau kusukumiza watoto wadogo wawe boarding school kabla hawajakomaa. mazingira ya aina hii na mengine mengi zaidi ya haya yasipozingatiwa huharibu watoto.

    ReplyDelete
  8. POLENI KWA HILO...........kuna wanaume wengi mashoga wanazaliwa katika hali hiyo,genetically proved during the fertilzation,it is only chromosome X and Y that can bring about a male child(XY)......Now if during the fertilization a male child occured due to X AND XY from a father then the male child will have a female(XXY) characteristics,during the puberty he will be interested to have sex with his fellow males,depending on how much his sex hormones with female characteristics are released,he may be BISEXUAL(interested in both males n females),TOP MALE(to fuck other males)BOTTOM MALE(to be fucked by other males)....I may be not that good in genetics but i hope that can help you do the following:
    1)Kuwa karibu naye na ujue sababu haswa zinazomfanya yeye kuwapenda wanaume kwa sababu co wote wanazaliwa na hormones za kike wengine ni matatizo ya maisha na mazingira
    2)Jaribu kumweleza ni kwa nini yeye kama mwanaume wa familia hapaswi kuwa hivyo na kwa njia ya upole mfanye ajione yeye ni mkosaji,ukimkaripia na kumweleza kuwa kuna hasara za mapenzi ya aina hiyo HATAKUELEWA kwa kuwa HAKUNA MADHARA YA AINA HIYO YA MAPENZI kisayansi.
    Kama haitasaidia nitafute nsilent@rocketmail.com NITAKUPA MAELEZO ZAIDI YA NINI CHA KUFANYA.

    ReplyDelete
  9. Eeh, mungu saidia mtu aweze kuacha,
    kuacha nikupingana na nafsi lazima mtengeze mazingira ambayo ndani yake kutakua na hofu ya kimungu ataweza kuyashinda hayo majaribu

    ReplyDelete