kuna mwenzetu jamani yupo nje ya nchi huko maulaya yeye anatatizo moja anahitaji sana ule wimbo wa georgina habari gani ulipo, georgina upo mbali mamaa............. na hajui ataupata vipi anasema ameshautafuta kwenye youtube lakini amekosa na angependa awe anausikiliza nyumbani kwake ili umliwaze siunaelewa tena ukiwa mbali na kwenu?
je wewe unafahamu namna ambayo anaweza kuupata mueleze tafadhali..
No comments:
Post a Comment