kuna ndugu mwenzetu jamani amenitumia message anasema yeye ni mjane na ameachiwa watoto watano, hana kazi wala kitu chochote kinachoweza kumpa kipato ili aweze kuwatumz hawa watoto na mwenzi wake alipofariki hakumuachia asset ya aina yeyote amejitahidi kwenda kuomba mikopo lakini hajafanikiwa na kikubwa ni kwamba hata asset yeyote ya kuombea mkopo jana kwahiyo pengi anapoenda wanamkatalia....
ndugu yetu huyu amechanganyikiwa jamani na anaomba ushauri kutoka kwenu afanyaje na wakati watoto pia wanahitaji matumizi na elimu?
ndugu yetu huyu amechanganyikiwa jamani na anaomba ushauri kutoka kwenu afanyaje na wakati watoto pia wanahitaji matumizi na elimu?
No comments:
Post a Comment