Monday, July 12, 2010

MUSIC NDANI YA NYUMBA.....

katika vitu vingi ambavyo hutuburudisha wanadamu ni mziki jamani kila mtu anamiziki yake ambayo huipenda na hupenda kuisikiliza siku ambayo anakuwa hatoki kabisa nyumbani akitafakari mambo yaliyotokea week nzima kwa mimi na penda sana nyimbo za dini na taarab yani hapo ndio utakuwa umenipata haswa sijui nyie wenzangu...

tukiachana na hayo kuna mwenzetu mmoja yeye anasemaje anapenda sana nyimbo za remmy ongala na anapenda afaamishwe kwa anayejuwa ni wapi anaweza kupata nyimbo za remmy alizoimba baada ya kuokoka unafahamu mweleze.......

No comments:

Post a Comment