rafiki zangu siku mbili hizi kulikuwa na tatizo la internet humu jijini ndio maana mliona kimya katika kuweka topics mpya na kutuma comments japo kwa sasa internet imerudi bado inasumbua kidogo kwahiyo please lets be together in this msione nimewasusa....
much love to all of you
No comments:
Post a Comment