Friday, June 11, 2010

MAPENZI GIZANI....

katika pita pita yangu leo nimekutana na kundi la wanaume wakipiga story na kujadili jambo ambalo nimeamua kuliweka humu wanajiuliza kwa nini wanawake wengi wakifanya mapenzi haswa wakati wa usiku hupenda taa isiwashwe yani wanataka kuwe giza, na mara nyingi wanawake wengi hawawezi kufanya mapenzi mchana ama kwenye mwanga wakaniuliza mimi nikawaambia sina la kusema ila wezangu watawajibu kwenye blog..

wewe je sababu unaijuwa?

1 comment:

  1. Si kweli kwamba wanawake wote wanapenda kufanya mapenzi gizani. Mimi na mke wangu huwa tunafanya mchana tu na usiku mwiko. Mtoto wetu hulala usiku kama saa 6 au saa 7 ukifanya muda huo lazima aone, na ni mtundu kupita maelezo ingawa umri wa kumtenga haujafika. Na kabla ya kuzaa hatukuwahi kufanya mapenzi gizani, hata iwe usiku wa manane lazima taa iwashwe- Ukizima taa unachafua mazingira, hivyo si vema si unajua ukishamwaga si zote zinaingia.

    mapenzi ya mchana ni mazuri- na raha ya mapenzi mwangalie mwenzio usoni, ndio maana wanaume wengi wanapenda mwanamke mwenye sura nzuri ana mvuto na hisia huwa kali zaidi ikiwa unafanya mapenzi ukiwa unamuangalia.

    Mimi sipendi mwanamke mwenye aibu- na ikitokea niko radhi kumuuacha.

    ReplyDelete