Wednesday, June 9, 2010

MAPENZI BAADA YA UZAZI.......

jamani ninajambo kunamuda unaotakiwa kufanya mapenzi baada ya kujifungua? na kama upo ni wiki ngapi? au miezi mingapi? kuna dada anaomba ushauri wenu..

1 comment:

  1. KWA HUKU TULIOKO USA UNAAMBIWA AFTER 6 TO 8 WEEKS NA UWE MAKINI KUJIKINGA AMASIVYO UTAPATA NYINGINE

    ReplyDelete