Monday, June 28, 2010

KUACHWA MMMHHHHHHH...............



najuwa katika mahusiano asilimia kubwa kila mtu ameshapitia huu wakati ambao unatokea kumpenda sana mpenzi uliyenae halafu inafika wakati yeye anaamua kuachana na wewe labda jambo lilitokea ambalo ilibidi muachane.......


lakini inakuwaje kama mmeachana halafu mwenye kosa ni wewe na yeye aondoke na bado unampenda sana, halafu uje kugundua baada ya mda mpenzi wako huyo mliyeachana anachukuliwa na bestfriend wako na bestfriend wako huyo he is so damn much in love with her?.................

na zaidi ya hiyo mara nyingi huwa mpo pamoja nao, na wakati mwengine they kiss mbele yako, na baada ya kutoka clubbin unajuwa kabisa jamaa anaenda naye nyumbani na mengi yataendelea wakifika huko? wakati wewe umeondoka peke yako kurudi nyumbani, usiku wako unakuwaje wakati huo? mmmhhh.............
DONT HATE THE PLAYER MAN HATE THE DAMN GAME

1 comment:

  1. mh hayo maneno yamenikuna sana dont hate the player man hate the damn game

    ReplyDelete