Thursday, June 10, 2010

KIUNO CHA KWANZA....

jamani ni kweli watu wote katika mapenzi mzunguko wa kwanza huja kwa haraka sana ama hii hutegemea mtu na mtu? maana nimesikia kila mwanaume akisema vyake wengine husema wakiwa wamekunywa pombe kali huchelewa kutoka, wengine husema wanapokuwa na mwanamke ambaye huwa anahisia naye basi hutoka kwa haraka sana, wengine pia husema kama hawajapata penzi kwa muda mrefu basi wanapokuwa katika tendo hilo hutoka kwa haraka sana..
haya ni maneno ya wao wewe kaka je?

1 comment:

  1. Huo ni mtazamo wa mtu na jinsi anavyo weza kuwa mbinafsi. Haiwezekani utoke kabla ya mwenzako ambaye unajua ni mchelewaji na huchukua muda kujipamba.

    FK

    ReplyDelete