lazima tukubali yakwamba wakati wa mimba ni wakati mzuri zaidi katika maisha yetu, kugundua kuna mtu mwengine ndani ya tumbo lako ni upendo ambao hauwezi kusimuliwa..
tuliona wananwake wa zamani pindi wanapokuwa wajawazito sio wote walipenda bado kujipendezesha miili yao, labda ni mimba zinawafanya wawe wavivu kuvaa vizuri, kujipamba, kutengeneza nywele, n.k
pregnancy ni kipindi tu cha kupita cha kumleta mtoto duniani sio kitufanye tusijipende, tusione ya kwamba kwasababu nina mimba basi ninaweza nikaacha kujitunza, hapana... tujitunze vizuri na kwa usafi ili tupendeze wakati wote wa miezi tisa...
huo ndio uwanawake wa leo..
wewe mbona mimba ilikunoga ivooooo???
ReplyDeleteas u said yeah its true most women huwa wanajiachiaaa wakiwa wajawazito mwanaume pia unamrahisishia njia ya kwenda kwenye mvuto bibii shurti kujipenda penda sio kujivuruguaa
mama Alvin