Tuesday, May 18, 2010

KUFIKA KILELE KATIKA KUFANYA MAPENZI..


hivi jamani tumeshawahi kuwauliza wapenzi wetu kama huwa wametosheka ama wamefurahia penzi ulilotoa? maana bwana samahani kama nitakuwa nakukwaza kuna wanaume wengine wao wanachojali ni kuingia, kutoka na kukojoa....

wanaume hivi mnajua kwamba wanawake wengi ni vigumu sana kuwafikisha kilele?na pindi wanapopata watu wa kuwafikisha kileleni husahau hata kama wana wapenzi (na hapo ndipo wapenzi wapembeni huanza) raha ya penzi ni wote wawili kuridhika, basi kwanzia leo tujitahidi kuwauliza wapenzi wetu kama wanafurahia na kuridhika na penzi tunalowapa na kama hawatosheki tuwaulize ni vipi hupendelea kufanyiwa ili aweze kuridhika na kufurahia mapenzi yako..

hamna starehe nzuri kama mkifanya mapenzi wote wawili na kuyafurahia.. sio baba unafurahi halafu mama moyoni anawaza utamaliza saa ngapi maana unamchosha bure tu.. hehe

1 comment:

  1. Mada hii ni nzuri sana lakini kwakuwa siku hizi mitandao inasomwa na watu wa rika zote nashauri ukali wa maneno kidogo upungue katika mada hizi. mathalani "kukojoa" Lugha sahihi hapo ungetumia kufikia mshindo.

    Twende sasa katika kuchangia mada... Hivi ni nani asiejua kuwa kabla ya kula unatakiwa kunawa mikono na baada ya kukla vivyo hivyo? Sasa inakuaje unakula bila kunawa, tatizo la kutofikia kilele linachangiwa na kutofanya maandalizi ya tendo, Mwanamke unakubalije mtu aingie ndani mwako kuopitia dirishani mlango upo sasa kwanini aisbishe hodi na kumfungulia vizuri aingie. Usipo fika kilele kwa mtu aliyebisha hodi na kukufungulia na kisha ukamuelekeza pahala pa kuketi unamatatizo yako.

    Unafikiri Rais katika mikutano anakaa kiti chochote lahasha hata Ikulu unaambiwa kiti hiki ni cha Rais sasa usipo niambia kua nikae hapa au nipite pale nitajuae sehemu za ndani kwako? Nanyie wanawake muwe wawazi saa ingine jamaa anauliza lakini hamumjibu kitu unabaki kimya.

    Hata wewe mwanaume unakulaje chakula kibichi na kisha kusema asante umeshiba. Hakikisha hushuki katika gari hadi konda kakwambia shuka. Dereva mzuri anaejali abiria wake huondoa gari hadi abiria wote wameshuka au kupanda na mlango kufungwa.

    By FK.

    ReplyDelete