Wednesday, July 23, 2014

heka heka za maisha zinatufanya tujisahau....

NAKUMBUKA SIKU MOJA NILIFUNDWA MTOTO WA KIKE UNATAKIWA KUWA SAFI MUDA WOTE, UTAKATE MWILI, UNG'AE SURA YANI KWENYE NDOA UNATAKIWA UPENDEZE HATA KAMA UMEJIFUNGA KANGA TU ILA UWE UMEPENDEZA UKAPENDEZE MACHONI KWA MUMEO

AKANIAMBIA HATA USIKU UKILALA UNATAKIWA ULALE UMEJIREMBA UNALALA UKIWA MZURI HATA MUMEO AKISHTUKA BAADA YA NDOTO MBAYA AKIKUANGALIA ANAPATA FARAJA KWA UZURI WA SURA 

SIKUA NIMEMUELEWA NA KUMPA SURA YA MSHANGAO LAKINI AKANIAMBIA UKISHAINGIA KWENYE NDOA NA UKAONA NDOA ZA WENZIO UTAJUA MWANANGU NAMAANISHA NINI

SASA NIMEGUNDUA JAMANI WANAWAKE TUNATIA AIBU

JAMANI WANAWAKE WENGINE WAONE TU BARABARANI WAKIPITA WAMEPENDEZA, WANAWAKA KWA UZURI JAMANI UKIWAKUTA MAJUMBANI MWAO UTASHANGAA NDIO YEYE AU NDUGU YAKE

MTOTO WA KIKE TENA WEWE KWASABABU UNAFANYA KAZI UNAJURI JIONI LABDA MUMEO NDIO KABARIKIWA GARI MOJA ANAKUPITIA MNARUDI WOTE NYUMBANI UKIFIKA TENA NDIO UAMUE KUOGA NA KUKAA ETI UMECHOKA UNASUBIRI DADA AWAANDALIE CHAKULA MLE MKALALE

SAWA NAKUBALI KUNAWENGINE WANAKAA MBALI JAMANI UKITOKA KAZINI MPAKA UFIKE NI MAUSIKU SANA, LAKINI UNASHINDWA NINIKAMA CHAKULA UMEKUTA KIMEPIKWA BASI UMTENGEE AU KUMIMINIA HATA MUMEO MAJI TU KWENYE GLASS

MTOTO WA KIKE IKIFIKA JUMAMOSI AMA JUMAPILI NDIO HUENDI KAZINI BASI UTALALA MPAKA SAA NNE MWENYEWE UNASEMA UNALIPIZIA USINGIZI WA WIKI NZIMA TENA UNAWAAMBIA KABISA WATOTO WASIJE HATA KUKUGONGEA UNALALA MPAKA SAA NNE

WAKATI HII NDIO SIKU YA KUMUONYESHA MUMEO RAHA YA KUOA, MWAMBIE DADA WEWE FANYA TU USAFI AAMKA MAPEMA PIKIA FAMILIA YAKO CHAI TENGA MEZANI, BAADAE ZUNGUKA NYUMBANI KWAKO ANGALIA KAMA KILA KITU KIPO SANAWA HAPO NYUMBANI, UKISHAKUA MAMA MWENYE NYUMBA LAZIMA UJUWE MAJIRANI ZAKO JAPO KWA SALAMU MAANA HAO NDIO MSAADA WAKO MKUBWA HAPO MTAANI PITA TU HATA KWA SALAMU JAMANI WAZIMA..

MTOTO WA KIKE HUJUI TOFAUTI KATI YA KHANGA ZA CHUMBANI NA KHANGA ZA JIKONI UNACHANGANYA CHANGANYA, UTAMKUTA MAMA WA MTU KAVAA KHANGA YA CHUMBANI ANAENDA KUPIKA CHAI NA USIKU UNAJUA TUNALALA BILA  YA NDANI MARA NDIO UNAISHI NA SHEMEJI AKIKUSHIKA KIUNO UTAMTUKANA???

MWANAMKE MWEZI MZIMA UNAPITA HUJAWAHI HATA KUWAOGESHA WANAO NA KUWAKAGUA, LAZIMA WATOTO MUWAKAGUE JAMANI DUNIA YA SASA HIVI IMEHARIBIKA MTOTO ANAWEZA FANYIWA CHOCHOTE HUKO BARABARANI NA LABDA ANAOGOPA KUKWAMBIA NA WEWE KWAVILE HUMKAGUI UMEKAA TU MADHARA UTAYAONA BAADAE MTOTO AKISHAHARIBIKIWA KABISA..TUWE NA TABIA ZA KUWACHUNGUZA WATOTO WETU MBELE NA NYUMA KWA UMAKINI KABISA

MWANAMKE CHUMBANI KWAKO NA NDANI KWAKO UNATAKIWA UPABADILISHE MARA KWA MARA ILI PASIWACHOSHE UNAJUA INACHOSHA KULALA SEHEMU MOJA KILA SIKU VILEVILE KAMA TUNAANGALIA KUSHOTO NI KUSHOTO TUUUU MPAKA CHUMBA KINAOMBA POO

UTAMKUTA MWANAMKE TOKEA ASUKE RASTA ZINAMWEZI NA JOTO HILI LA DAR BASI BORA UWE HATA UNAZIOSHA MARA KWA MARA NA HIVI WENGINE WANAMAJASHO MAKALI UNATEGEMEA MUME ATAKUKUMBATIA NDANI YA HUO MWEZI LABDA MARA MBILI KIPINDI RASTA ZIPO MPYA..HALAFU UNALALAMIKA MUME WANGU ATAKUA TU ANACHEPUKA YANI HAJIGUSI KABISA NA MIMI KITANDANI..UTABAKIA HIVYOHIVYO

MWANAMKE TOKEA UREMBWE SIKU YAKO YA HARUSI TENA KWA KULIPIWA NA MUMEO HUJAWAHI JIREMBA TENA MADAI ETI UNAPENDA KUWA NATURAL, HALOOO MUMEO AKIKUTANA NA MTOTO KAMA MIYE NINAYEPAKA WANJA WA KUNGU UNATEGEMEA NINI ANAITWA TU KWANZA KWA MACHO..

KISA TU UMESIKIA NGUO FLANI ZIMEINGIA FASHION BASI NA WEWE UNATAKA UKAVAE HATA HUJIANGALII MWILI WAKO ZIMEINGIA NGUO ZA TENTEMENTE UMEVAA WAKATI WEWE UMBO LAKO UNALIJUA UNATAKIWA KUVAA MATENGE, BARABARANI MUMEO AKIKUAMBIA UTANGULIE MBELE YEYE ANAKUJA NYUMA UTAMLAUMU NANI

HAYA LABDA HUWA UNAJIPAMBA HIVI UNAJUA RANGI YAKO NI GANI NA PODA ZAKO NI ZIPI, JAMANI BARABARANI UTAKUTA WATU WAMEJIPAMBA MPAKA WANATISHA MTOTO WA KIKE MWEUSI UKAJITI MIPODA MYEUPEEEEE, AMA WEWE TENA NDIO MKOROGO UMEGOMA UNAJISOKOMEZA MIDODO INAZIDI KUKULIPUA, UNAPAKA MIPODA MYEKUNDU TENA UNAJIDANGANYA ITAENDANA NA NGOZI YAKO UNAJITISHA TU MWENYEWE NA KUTUFANYA TUKUONE VITUKO TENA BORA MIYE NITAKUAMBIA SHOGA WENGINE WATAKUCHEKA PEMBENI..

YANI WANAWAKE TUNAJISAHAU KWA MENGI SIJUI MWALIMU WETU NANI ANAYETUPOTOSHA, NDIO MAANA NILISIKIAGA MSEMO WANAWAKE MWALIMU WAO KIPOFU, YANI TUNACHEKWA KWA MENGI SISI..

UMKUTE TENA MWANAMKE NDIO YUPO KWENYE NYUMBA YA KUPANGA CHOO KIPO NJE BASI AKIENDA KUOGA UTAFURAHI KHANGA MOJA TU, AU KAMA NDIO TAULO KAFUNGA MOJA TU HUYO NA NDOO YAKE, JAMANI MARA KWABAHATI MBAYA IKAKUDONDOKA AIBU HIYO UTAIFICHA WAPI, KAMA UMEAMUA KWENDA KUOGA NA KHANGA BASI FUNGA MBILI MOJA JUU KAMA KAWAIDA NYENGINE PITISHA KIUNONI

SASA NDIO UMKUTE NJE YA CHOO ANASUGUA GAGA NA KHANGA YAKE MOJA UTASEMA ANATAKA KUMTEGA MUME WA MTU TAKO ANALIRUSHA KAMA MPIRA WA REDE...HAHAHAHA HALOOOOO

KWASABABU WEWE TENA UNAKAZI UKIRUDI NYUMBANI UNAJIFANYA UMECHOKA MUME AKITAKA GOMA UNAMPA APIGE MOJA, MWANAUME ANALALA NA HAMU ZAKE HATA KAMA ANAKOJOA MUDA WOTE HAMU SAA INGINE HAIISHI WEWE TENA NDIO USHAMPA KIMOJA UNALALAMIKA UMECHOKA BWANA TENA ANAONDOKA NA HAMU ZAKE AKIKUTANA NA WALE WANAOISHI MJINI KWA KUDAKA MBOO ZA WAUME ZA WATU BIBI OHHOOOO..HALLOOOOO

MIMI NA WEWE TUNAJUA LIPI HUWA TUNAFANYA VIBAYA JAMANI TUJIREKEBISHE TUSIJISAHAU SANA NA HUU UTANDAWAZI

***END*****

No comments:

Post a Comment