tujadiliane nguzo za Ndoa or mambo muhimu yanayoleta mshikamano katika Ndoa.!! nguzo mojawapo ambayo ni HESHIMA- naona Heshima katka Ndoa ni jambo la msingi sana.!kuanzia kwa baba,mama na watoto..
Heshima ni neno pana sana...Tunapaswa kujifunza kumalizia tofaut zetu chumban.!wanandoa peke Yao na CIO mbele za watu..!
Kutosema mapungufu ya mwenzio pia..!wanandoa wengi wana pitiwa sana kwy hili..!
Nguzo ya 2.KUAMINIANA....nahisi hii pia ni nguzo muhimu sana kwa wanandoa na inaleta heshimaaa
Nguzo ya 3.KUSHIRIKIANA KTK SHIDA NA RAHA KTK NYAJA ZOTE ZA MAISHA.....
Nguzo 4. KULINDANA- Tunapaswa kulindana..ni vema kila unapopiga goti unamkabidhi mkeo/Mumeo kwa Mungu
Nguzo 5.KUSAIDIANA- kufanya kazi kwa pamoja CIO mbaya baba kumsaidia mama kazi inaleta heshima sana,pia kupongezana ktk majukumu ---mwenzi wako anapofanikisha kitu ni vema kumpongeza ikitokeaaa kakwama unampa moyo..tujifunze kuwaappreciate wenzetu inaleta heshima sana..
Nguzo ya 6.KUTAMBUANA-mtambue mwenzio ni mtu wa aina gani,yatambue mapungufu ya mwenzio-heshimu maamuzi ya mwenzio( kuna familia nyingne mama Hana say baba akisema ndo final..au baba Hana say mama akisema it's final..!!!hata ka hujakubaliana na wazo la mwenzio CIO vema kumcrash kuna wording nzuri yakutumia like" nimekuelewa mume/mke wangu wazo lako ni Zuri sana ila me naona ni vema ingekuwa ........inaleta heshima sana
Nguzo nyingne..HESHIMU NDOA YAKO....Kama ulimtanguliza Mungu ili kupata mke/mume mwema sasa Mungu amekuletea lazima uamini muunganiko wetu umesababishwa na Mungu...haikuwa bahati mbaya hvo ukiipenda Ndoa yako hata Mungu anafurahi
Nguzo nyingne..USIWE NA NYUMBA NDOGO...nyumba ndogo inapunguza sana heshima.!kwa pande zotee.!!manake cku hzi wanaume wanakuwa na nyumba ndogo na wanawake nao wanaamua Kuwa na mahusiano nje..!hii hupoteza heshima sana kwa wanandoa.!!
Nguzo nyingne inayoleta heshima" jivuniee hadhi ya Mwenzio-Be proud of your Wife/Hubby.....inaletaheshima sasa kuna wanandoa hawapo proud na wenzi wao kabsaaa..huwezi hata kuongozana na mume/mkeo iwe barabaran or kwy party...wala kumuintroduce kwa watu wako wa karibuuu
Nguzo nyingne..muone mwenzio Kama wewe--ni kosa kubwa sana kumtambua mwenziooo Kama mtumishi/kijakazi...unapomuona mwenzio Kama wewe utamuheshimu sana na kamwe hutomfanyia vitu ambavyo ww hupendi kufanyiwa..!!
Kingneee jenga Tabia ya utani na mwenzio Ina raha yakeee..!!na inaleta heshima Kwenu nyoteee..!!
No comments:
Post a Comment