Monday, October 14, 2013

TICKETS ZIMEANZA KUUZWA...

 SHOGA UNAAMBIWA USIMTEKENYE ALIYEKUBEBA USIJE ANGUSHWA...Hahahahahaha ni ile event yetu tena wana Dar es Salaam ukumbi mmoja masomo wawili chezea wazaramu wewe na kwa mara ya kwanza haijawahi kutokea kufundwa wazi na kungwi mwanaume chezea Doto wewe baba mwenye mke na watoto, mzaliwa na mkazi wa mabibo, kabila lake mzaramu hehe heiya najua hupati picha na huwezi kuipata mpaka utakapomuona, ila nakuambia tu usikose...ni 6/12/2013 palepale majestic hall kwanzia saa 12jioni mpaka 3usiku omba visa yako mapemaaa...Jamani na nina madera 200 tu sipokei hela siku ya mwisho ukikosa utasubiri nyengine mwezi wa nne MUNGU akipenda na pia kama kawaida yetu tuna meza za biashara na bei ni ileile 15000 unaweza share meza na mwenzako.... ukihitaji tickets nipigie 0717 019320 watano na zaidi nakuletea tickets zako na madera ulipo chini ya hapo unayafwata shekilango....kwakuwa tunafunga mwaka kila mwanamke ataondoka na zawadi yake nzuri kwa mwanaume wake na kama mwanaume huna utaiweka haiozi mpaka utakapompata...hehe heiya chezea smaku wewe utanasa tu

Tunafundwa kila siku kuhusu wanaume na jinsi ya kukaa nao na wanawake lakini je unajuwa wanaume wanataka nini njoo usikie mwenyewe kutoka kwa kungwi mwanaume..haloooooo 

No comments:

Post a Comment