OKTOBA 19, 2013 ilikuwa ya aibu kwa mmiliki wa gari aina ya Noah kufuatia kuangushiwa varangati na kahaba ambaye jina lake halikupatikana mara moja baada ya mmiliki huyo ambaye ni mume wa mtu kula naye uroda kisha kutaka kumfanyia kitu mbaya.
Ilikuwa wakati OFM wakipita eneo hilo, walikuta umati ukiwa umelizunguka gari hilo huku kahaba huyo akianika ya ‘chumbani zaidi’.
Kahaba: (huku akilia) Huyu baba amelala na mimi kule (hakutaja jina) tena ndani ya gari lake, si angalieni muone kile kiti cha upande wa abiria kilivyolala. Tumemaliza, tumekuja wote kufika hapa akanisukumia nje, nikaangukia nje na kuumia mkono. Ndiyo nikaokota jiwe ili nivunje vioo vya gari lake.
Kahaba: Umenipa ndiyo, nataka hela ya kwenda kujitibia huu mkono ulioniumiza, nataka matibabu tu mimi.
Mwanaume huyo alitaka kuondoka kwa kuwasha gari, lakini OFM wakamzuia wakimtaka asubiri polisi kwa vile msichana huyo aliumia kiganja cha mkono wa kushoto.
Global Publishers
0 comments:
Post a Comment