Siku hizi mzunguko kwa wengi umekuwa kama ni utumwa kwako je???? yani wanawake wengi sana ambao naongea nao wengi tatizo lao ni moja hawanogewi tena na mizunguko na kama wananogewa basi ni wa kwanza tu ni kwanini?
Kwanza mashamsham ya chumbani hakunaga tena unajuwa chumbani kwako ni sehemu ambayo unatakiwa uipende kuliko kitu chochote unapoingia pakukumbushe raha na starehe zote mnazopeana wewe na mumeo/mchumba wako na siwaongelei nyie mnaochukuwa wame za watu maana hata ukifurahia shoga utapata tu kero unatakapowaza sasa hivi yupo kwa mkewe..
Chumbani kwako lazima pawe pasafi, kitanda kiwe safi na wakati wa mzunguko wote muwe mmejiweka tayari namaanisha nini utakuta mnataka kuanza mzunguko mara bwana anakwambia baada ya hapa nataka niende kuangalia mpira!!! inahusu maana hata hamu yote inaisha unakuwa tu umelala ilimradi jamaa amalize shida zake aondoke zake ulale, mnatakiwa mnazunguka kwa mahaba na baada ya hapo mnapumzika pamoja mkitafakari raha mlizopeana na kusifiana kwa maujuzi..hivi huleta hamu ya kutaka kufanya pamoja mizunguko mara kwa mara.
Lazima ujuwe vikorombwezo vya chumbani mzunguko nao unaungwa kama mboga, sio mtu unakaa busy kuwaza leo mahanjumati niyaunge je mmewangu ale ashibe lazima uumize leo huyu baba sijui nimuingilie na style gani nimchanganye akili, vikorombwezo vipo kibao kwanzia nguo, mafuta, vya kuweka kitandani shoga kama unataka kujuwa ndio uje kwenye mafundo hiyo 26/4/2013... sitoi yote humu
Ndugu inahusu nini wewe mlevi halafu mkeo/mchumba wako halewi ukaja na mipombe halafu unataka mzunguko utapewa lakini mwanamke wala hata furahia, kisa cha kunilalia unabeua beua na kutoa harufu kama mbuzi ndio nini mwanaume unanuka shombo hakuna jasho baya kwa taarifa yenu wanaume kama jasho la pombe..ebo
Tabia zenu wanaume wengine mlizonazo hizo mwanaume ukimuona wa maana lakini hujui kumuandaa mwanamke yani wewe ukishaona nguo zimevuliwa basi unaparamia kama unadandia daladala harakaharaka uingie umalize shida zako hujuwi kama mtoto wa watu unamuumiza, tena wenzio wanawake tunachanika na kuchanika ukitoka hapo ukienda kukojoa mkojo ukigusa pale basi mpaka chozi linakutoka inachukuwa mpaka siku tatu kupona ile michubuko sasa wanamke gani atakutaka ama hata kuwaza ukamlaze tena...
Mzunguko ni uchafu na umalaya ndio unanoga sasa wewe jitie sistaduu malaya wa mjini wakuonyeshe jeuri yako, kila mtu anatakiwa kujituma na awe malaya kwenye mzunguko sio mwanaume wala mwanamke wote kwa pamoja ndio utauona utamu wake..
Lako hilo ukalitendee kazi
No comments:
Post a Comment