9:00 AM
Jamani
kuna watu hawajui maana halisi ya kusinga, kusinga ni kusafisha mwili
ung'ae kutumia vitu vya asili na kusafisha mwili unaweza kusafisha wako
mwenyewe ama wa mume/mpenzi wako ndio tunafundisha siku hiyo vitu hivyo
vitakavyotumika vya asili havichubui wala havina chemicals yani mwili
unatakata sana hata mimi natumia na tofauti mume wangu na wengine
wanaziona nawashauri kama unajipenda kwa dhati ukaribie siku hiyo
naamini utafurahia.
0 comments:
Post a Comment