Thursday, January 10, 2013

Hehe heiya...

Hahahaha hebu kwanza nianze kwa kucheka nijiongezee maisha miye jamani leo nimecheka mpaka nimehisi kuvunjika mbavu imekuwaje ngoja niwape umbea na kuwafunza pia basi leo nimekutana na mashoga zangu fulani  katika kupiga zetu story za hapa na pale mmoja  akaniambia kitu ambacho jamani sikuamini na kwake yeye alihitaji kufundwa lakini kwajinsi alivyonihadithia jamani nilicheka sana.

Nilikuwa naongea nao na kuwafunda mambo ya chumbani ikafika katika kumfuta mume kitandani nikawauliza unamfuta vipi kila mtu akaniambia namna yake ila huyu mmoja ndio aliniua mbavu akaniambia mimi huwa namfuta na wipes na analalamika baridi sana..hahahahahahaha

Jamani kile kitu ni cha raha mwanaume akishafika kileleni anasikia raha na utamzidishia raha pale unapomfuta vizuri kwa ujuzi mzuri niliwafunza hapa kwamba ni muhimu kuwa na khanga kitandani kwako ndio maana ya kuwa na zile khanga laini unazani ni za kuvaa tu na kufanya tentemente (kutingisha body) hapana pia unazitumia mume anapofika kileleni unakuwa na kibeseni chako ama kama umeamua kuiloweka tayari kwenye maji upande mmoja unamfuta yeye vizuri kwa utaratibu na upande mwengine unajifuta wewe ukimaliza unampa ahsante ya shughuli kubwa na pole kwa kumpangusa unadhani kumchungulia mwanaume mtu mzima baba wa mtu  kitu kidogo jamani hata kama mumeo mpe heshima yake halafu mpumzike kwa kulala kitandani mkitafakari raha mlizopeana sio wewe ukimaliza tu unachepuka kama baruti mpakaka bafuni  kunawa unazionea kinyaa kitu gani wakati zile fresh kabisa zinatoka na ujoto wake wenzio twazila wewe unazikimbia na kuzionea kinyaa..bibi kulea mume sio kazi rahisi ukamchukulia poapoa kwa mume hakuna usistaduuu..shauri yako

3 comments:

  1. huyo shost katisha, wipes zinakuwaga baridi afu kama ninawashawasha flani, ngoja nami niwape kidogo ujuzi niliofundishwa na bibi yangu binti khamis...heheheheiiiya chezea bibi yangu mie weye..nadhani wote tunazijua zile nepi laini za mtoto mchanga kabisa aliezaliwa leo, zinakuwa siyo kama taulo ni kitambaa flani kama cha kuvutika kwa mbali afu kilaini sana, basi kile wakati unataka kuanza mambo unachukua chupa yako ya chai unajaza maji ya moto na mengine unaweka kwenye kibeseni kidogo hata chini ya kitanda kama chumba ni kidogo, unaloweka kitambaa chako mle kwenye maji ya moto, unapiga mzunguko wako kama kawa, ukimaliza unachukua kitambaa chako unakamua vizuri kitakuwa ni cha moto au vuguvugu basi unamfuta mpenzi wako kwa raha zako then unakirudisha mle kwenye kibeseni, jinsi kitambaa kilivyo na ujotojoto kama jamaa yuko vizuri hpohapo utaona kitu kiko ngangari mkapiga na mzunguko mwingine, ni vizuri ukawa navyo vi2 au vi3 per nite inategemea na round zenu..maji yakipoa unayamwaga na kuweka mengine ulokuwa nayo kwenye chupa...chupa za chai zina kazi nyingi wajameni...Thanx

    ReplyDelete
    Replies
    1. asanteeee ndio bibie chupa ya chai ina kazi zaidi ya chai/uji tu

      Delete
  2. Mmh jamani si wengine nahic tutaachwa shida zote hizo za nini na ndo mambo yenywe kila siku!!1kumfuta sawa ntamfuta lakini mara maji ya moto mara yawekwe tui la nazi mara nini mi nadhani yatanishinda.alafu yeye haangaiki chchote kuhusu mimi ye anajua kuingiza na kutoa tu???wanawake tuna kazi kwa kweli

    ReplyDelete