Wanawake tuliwaeleza ya kwamba jamani unapokuwa chumbani na mumeo au mpenzio (kama mnaishi pamoja) mkamaliza mzunguko ghafla mama ukaitwa labda sebleni kunawageni au dada anahitaji kitu kutoka kwako ni muhimu baada ya mzunguko kuwa na handkerchief kwenye kitanda chako au hata pembeni tu umeiweka ili dharula kama hizo zikitokea inakuwa rahisi kwako unachukwa handkerchief yako na kuiweka ukeni ukaibana pale au hata ukiamua kuivalia na nguo ya ndani ili izuie zile shahawa zilizoingia ndani zikitoka zisitiririke kwenye miguu.
Lakini cha kushangaza bado kuna wanawake wanatumia vitu kama tissue, jamani kama mzee anataka round nyengine ya haraka kabla haujaenda kunawa ama kuoga akukute na vipande vya tissue sasa kazi yake itakuwa aingie akupe raha ama aanze kupasafisha kwanza zile tissue, badilika kama na wewe unatabia kama hizo maana najuwa na nimekutana na watu ambao bado wanatumia tissue kumbukeni hiyo sio nzuri na inakatisha tamaa ya kutaka mzunguko mwengine mpaka uanze kwenda kunawa na kuhakikisha zimetoka wakati wengine hamu zao mpaka waboost hivihivi inakuwa ngumu sana sasa mtu yupo tayari kafika anaanza kukutana na kazi ya kutoa tissue...haipendezi
No comments:
Post a Comment