PING!!!!!!!!!PING!!!!!!!!!PING!!!!!
Wapendwa wangu natumaini wote ni wazima siku hii ya leo napenda kuwataarifu kwamba blog ipo katika matengenezo ili kuifanya izidi kupendeza zaidi na iwe ya kisasa nawaomba mnivumilie kipindi hiki wakati inafanyiwa ukarabati tukirudi mwendo ni uleule...Ahsanteni na nawapenda wote.
Hongera mama...kazana. Tuko hapa tunakufuatilia kila siku all the way from U.S.A na kujifunza hatua kwa hatua kabla ya kuingia kwenye hiyo hatua ya ndoa.
ReplyDeleteUbarikiwe mama na uko juu kwa hali ya ufanisi!!!
You make me proud to be a Tanzanian!!!!!
jamani,tutakumiss.maana mimi kila nikifika oficine asbh lazima nifungue blog yako.inanifanya siku yangu iwe njema sn,so hadi lini hayo matengenezo dada?
ReplyDeleteHongera sana kwa kutufundisha mambo mengi. Naomba uendelee kutufundisha mambo mbali mbali yakiwepo jinsi mwanamke anavyotakiwa kupangilia sebule yake, kupanda maua ya namna gani nyumbani kwake na kadhalika. pia usisahau malezi ya watoto ni muhimu sana tujifunze pia jinsi ya kulea watoto ili wakue na maadili mema. Ahsante.
ReplyDelete