Mke: Mwanamke ndoa bwana
Mume:Haswa ukiipata
Mke: Siumeona wenyewe tulivyopendeza, ahsante mume wangu kwa gauni zuri
Mume: Ahsante kwa kushukuru mke wangu ila uzuri wako unachangia kukufanya uzidi kupendeza
Sasa manojifanya kujipendekeza kwa mume wangu nawaambia nitawachakachua hii ni challenge full gear chezea miye weye..
Achana nao hao mke wangu hakuna wakuziba wala kuchukuwa nafasi yako ndio maana nimekuweka wewe ndani..
Sikujuwa kama yellow na silver zinapendeza hivi..uuwiii zinanoga
Kweli njano si mchezo..
Pictures Source:GRM Production
No comments:
Post a Comment