Tuesday, November 20, 2012

Tangazo...

Shukrani, Sifa na Utukufu namrudishia MUNGU baba muumba wa mbingu na nchi kwakuwa mwokozi na kiongozi wangu siku zote za maisha yangu kama biblia inavyotuambia hata muacha mja wake ukimfwata na kumuomba bila kuchoka wala kukata tamaa.

Napenda kuwatambulisha kwenu catering pekee ya nyama Dar na karibuni sana mpate huduma zetu tembelea website yetu ya rosemarymizizi.impressivefood.com ama ingia kwenye blog links hapo pembeni inaitwa MEATY SNACK kwa ubunifu na mara ya kwanza kutokea chini na kwakila event tutakayohudumia picha zitawekwa kwenye hiyo website pia sehemu ya enjoyment.

Karibuni sana na MUNGU awabariki 

No comments:

Post a Comment