Monday, November 12, 2012

SOMO..

Shoga nimelipata hili nikaona mmhh lazima nije nilitie humu na wewe ulifurahie labda ulikuwa hulijui ama ulikuwa unalijuwa basi upte furahi tena.

Ulikuwa unajuwa kama mwanamke hatakama umebanwa na mkojo vipi ukienda kukojoa usikojoe kama bomba!! unajuwa kukojoa kama bomba wewe??? vile unapoenda chooni umebanwa halafu pwaaa unauachia yani mpaka unasikia ile sehemu ya mkojo ipo wazi kwa jinsi unavyoutoa mkojo kwa speed..hehe heiya.

Shoga unaambiwa ukikojoa huvyo unazidi kutanua marinda yako ya ukeni..eenhee ndio ulikuwa hujui ndio ufahamu sasa, mwanamke unatakiwa hata kama umebanwa na mkojo vipi unakojoa huku ukivuta uke ndani basi mkojo unatoka taratibu na kwa heshima huku uke wako ukizidi kwenda ndani na kukaza marinda ya uke mwanamke kila siku baba akiingia wewe kwake mpya tu..hehe heiya chezea miye

Na kwa wale wote ambao wamekuwa na tatizo na kuhisi uke wake umepanuka basi fanya hilo zoezi litakusaidia zoezi lengine la kurudisha uke ndani mtakuta kule 7/12/2012 lipia nafasi yako sasa shoga usipitwe mwanamke chini bibi mwanamke kitanda..halooooooooo shaurilo

1 comment:

  1. Haya mwanamke kujibana babu eee sio unauchia uke wako mwaaaaaaah hapana unapokoja jibane ili marinda yasitanuke, na pia hata uume ukiingia unatakiwa kujibana babu eee sio unaacha tu mwaaa basi shuti unatanua tu , wapi shoga zangu neno hilo mwanamke jibane mume kila siku akuone mpyaaaaaaaaaaaaaa mpo hapo!!!! Grace wa Kimara

    ReplyDelete